VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
Hivi sasa wanafunzi wa UDSM Campus ya Mlimani wameanza mchakato wa mgomo.Sasa wapo chini ya Jengo la Utawala wakisoma maazimio yao.Wanapanga kwenda Bodi ya Mikopo kesho.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanadai malipo ya pesa za kujikimu ambazo zilipaswa kulipwa kwao.Tayari Utawala wa Chuo ulishawakata fedha walizozikopa Semista iliyopita.Sasa wako barabarani,ingawa hawajaaifunga,ielekeayo Mwenge.Wanaimba'kama sio juhudi zake Nyerere.......'
Nipo kwenye daladala naenda chuo, sijui nishuke?