unajua ukifuatilia sana hii nchi ni ya watu wachache wanao jifanya wao ni miungu watu nikifuatilia mgomo wa college of informatics udom chanzo ni pesa za special fuculty requirements ambazo kunakikundi viongozi wachache wamechakachua fedha leo hii wanasema wanachuo wamegomea laptop,kesho utasikia udsm wamegomea mambo yasiyo ya msingi hivi kweli mtu anaweza agome pasipo sababu za msingi,naomba raisi wa nchi fuatilia kwa kina hii migomo,kama udom college ya iformatics kumejaa viongozi wasio waadilifu na wanaongoza kwa ubabe hasa principle wa college ya informatics.tunaomba tume itumwe hapo chuoni
poleni sana wana udsm akuna kulala hadi kieleweke nchi hii bila mgomo akuna haki,wasomi migomo,madeleva migomo,walimu migomo,wauguzi migomo,je nchi hii inakwenda wapi :israel::bange: