UDSM Marathon hiyo Kwio!

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
6,974
Reaction score
8,750
UDSM hakika mmejitahid kuandaa marathon matata nchini. Kongole. Ila mnabidi mwakani mjipange zaidi.
1. Usalama wa washiriki barabarani haukuzingatiwa (magari yaliendelea kupita wakati marathon inaendelea).
2. Hakukuwa na MC mahsusi wa shughuli nzima, zaidi wale wa kujitolea,
3. Finish line ilikua na watu kibao wanaselfika wakati marathoners wanarudi (ngumu kutambua mshindi halisi).
4. Medali hazina ubora kabisa (chuma lililoveshwa kamba).
 

Attachments

  • udsmmarathon_20201205_233144_4.jpg
    77.1 KB · Views: 58
  • udsmmarathon_20201205_233144_5.jpg
    104.8 KB · Views: 53
  • udsmmarathon_20201205_233144_0.jpg
    117.1 KB · Views: 49
Wajipange kuongeza pisi Kali s kila mwaka zilezile tu tumezchoka
 
Hizi marathon zimekuwa nyingi mpaka tunakosa muda wakujiandaa, maana kule kuna "fursa" nyingi mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…