UDSM Marathon hiyo Kwio!

Kwa upande wangu kilichoni bore ni zile medal, ni mbaya, ndogo, then finishing yake ni upuuzi mtupu. Bora wangeacha kutoa kofia wakomaa na medal kwa kweli.

Otherwise maandalizi ya jumla nawapa nyota tano, usalama barabarani ni labda vile waliweka auxiliary police, so baadhi ya madereva wali mis behave!

Route ya 21Km ni konk sana yaani aliyeenda kwa pace ya 5.30 apongezwe.

Bib No zao next tume wajaribu kuweka zile digital, kwa taasisi yao nadhani ita sound good, vile ni taasisi ya kisomi.
 
21kms konki SI mchezo. Inshallah mwakani tutaonana
 
Marathon imekuwa sehemu ya watu kbanjuana sahvi

Ova
Tuache kuskiliza story za Vijiweni wakuu , hebu wewe tupe ushahidi jinsi Udsm marathon wadau walivyovunja amri ya sita ili tuamini unachojaribu kusema, even chartings tu tukuelewe.
 
Tuache kuskiliza story za Vijiweni wakuu , hebu wewe tupe ushahidi jinsi Udsm marathon wadau walivyovunja amri ya sita ili tuamini unachojaribu kusema, even chartings tu tukuelewe.
Kili@nishashuhudia sana

Ova
 
Acha wivu kwa mashosti wenzake. Unaumia nn wakipata madanga mapya?
Duh unapanik we mdangaji nn kwenye hizo marathon[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Medali hazina ubora kabisa... But I complete 21.1km na pace ya 4.4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…