BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 5,950
- 11,295
Tunashukuru TCU imewachagua first year 1200,ni kwamba chuo hiki kishiriki cha udsm bado hosteli hazitoshi,majengo kipindi nasoma Advancehapa 2005 ni yale yale hakuna nyongeza,cha kawaida watu wanapanga nje ya chuo na geto moja wanalala watu4-5.Huko Dar Vip