Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijawahi kusikia, labda kama angekuwa amefika form six, hapo ningesema inawezekana. ninachojua, kuna jamaa mmoja yeye alikuwa law secretary aliyekuwa amemaliza form six, akasoma certificate in law, alipata kukubaliwa kusoma LLB udsm. nafikiri kwasababu form six hakufaulu vizuri, walichukulia ile certificate ya sheria kama ndio mubadala wa ufaulu mzuri. kwa kifupi, kama analipiwa kwa mkopo, udsm faculty of law hawapokei zaidi ya division one point eight, kama anajilipia, nafikiri wanaishia one ya tisa na two za mwanzoni. hakuna three pale. ni chuo ambacho wanabana sana. kama vipi, mwambie ajaribu mzumbe au st.augustine, tumaini ya dsm au iringa etc. pia, mwambie atafute kitabu hiki hapa kitamsaidia kuongeza ujuzi wa sheria SHERIA KWA KISWAHILI
inawezekana,kwa private sponsorship kwa wanawaken afikiri inawezekana. pia, inawezekana wakawa wamelegeza kamba kutokana na vyuo vingi kuongezeka. you are right.Nadhani unaongea kwa uzoefu wa miaka ya nyuma. Basi kwa taarifa kuna mabinti watatu nilimaliza nao A-Level na walipata III.13 na sasa wanaingia 2nd Year hapo UDSM LLB (Private Sponsorship)
Nadhani unaongea kwa uzoefu wa miaka ya nyuma. Basi kwa taarifa kuna mabinti watatu nilimaliza nao A-Level na walipata III.13 na sasa wanaingia 2nd Year hapo UDSM LLB (Private Sponsorship)
Hahaaaa nimepata uhakika kutoka kwa Dean wa Sheria UDSM. Kwa aliyeomba ushauri ni kwamba Hawei kupata pale labda ajitahidi apate Diploma au ajifunge kibwebwe afanye mitihani ya Kidato cha sita. Kwa wanaosema div 3 na 2 za kumwaga huo ni uongo maana UDSM haichukui wanafunzi kwa kigezo cha kupata mkopo ama la kwa sasa. Mwisho ilikua 2006 ambapo kabla ulikua ukipata admission inakueleza kabisa wewe ni government sponsored au private student. Kwa sasa ni mkopo hivyo kila mmoja anachukuliwa kama mwanafunzi. Sheria kwa UD ni moja ya kozi zinazochukua wanafunzi waliyofaulu vyema form six kama ni hao wa 2 au 3 mnaowasema lazima atakua na amefanya vyema sana form four.