UDSM na cheti cha sheria

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
737
Reaction score
81
Mdogo wangu form 4 na credit 5. Je akisoma na kufaulu certifacate in law anaweza kusoma LLB hapo UDSM?
 
wanaofaulu nni wachache sana..maybe 3 hivi hiyo ni rxperience niliyoiona na hao wanaendaga BALE..(law enforcement)
 
sijawahi kusikia, labda kama angekuwa amefika form six, hapo ningesema inawezekana. ninachojua, kuna jamaa mmoja yeye alikuwa law secretary aliyekuwa amemaliza form six, akasoma certificate in law, alipata kukubaliwa kusoma LLB udsm. nafikiri kwasababu form six hakufaulu vizuri, walichukulia ile certificate ya sheria kama ndio mubadala wa ufaulu mzuri. kwa kifupi, kama analipiwa kwa mkopo, udsm faculty of law hawapokei zaidi ya division one point eight, kama anajilipia, nafikiri wanaishia one ya tisa na two za mwanzoni. hakuna three pale. ni chuo ambacho wanabana sana. kama vipi, mwambie ajaribu mzumbe au st.augustine, tumaini ya dsm au iringa etc. pia, mwambie atafute kitabu hiki hapa kitamsaidia kuongeza ujuzi wa sheria SHERIA KWA KISWAHILI
 

Nadhani unaongea kwa uzoefu wa miaka ya nyuma. Basi kwa taarifa kuna mabinti watatu nilimaliza nao A-Level na walipata III.13 na sasa wanaingia 2nd Year hapo UDSM LLB (Private Sponsorship)
 
Nadhani unaongea kwa uzoefu wa miaka ya nyuma. Basi kwa taarifa kuna mabinti watatu nilimaliza nao A-Level na walipata III.13 na sasa wanaingia 2nd Year hapo UDSM LLB (Private Sponsorship)
inawezekana,kwa private sponsorship kwa wanawaken afikiri inawezekana. pia, inawezekana wakawa wamelegeza kamba kutokana na vyuo vingi kuongezeka. you are right.
 
Inawezekana mkuu.Mimi niliisoma miaka ya nyuma kidogo lakini inatakiwa apate distiction pass yaani asipate suplimentary na apate A au B+ Tano.Huwa ni wachache wanaopata hiyo kitu na wanavyosajiliwa chouni nanasajiliwa kama wenye equivalent qualisfication sio dirrect entry.

Kwenye bodi ya mkopo ndio inakuwa issue kwani wanahitaji form six au diploma hivyo hata kama atafaulu kwa distiction pass na akapata udahili bado utahitaji kumsomesha kwani hatakuwa eligible kwenye HESLB.

Mimi nakushauri tuu asome kwani ndio nyia rahisi ya bila kwenda Alevel na hata kama atakosa nafasi UDSM atapata kenye vyuo vingine bila hata distiction pass mfano sauti
 
Nadhani unaongea kwa uzoefu wa miaka ya nyuma. Basi kwa taarifa kuna mabinti watatu nilimaliza nao A-Level na walipata III.13 na sasa wanaingia 2nd Year hapo UDSM LLB (Private Sponsorship)


yaaap....kuanzia intake ya 2010...UDSM ilachukua private..that y izo dv 3,2 za kumwaga....but kipnd me naingia 2008 pale..mwisho ilikua div 1 ya 5 tu..huna....nenda vyuo vingine..
 
Hahaaaa nimepata uhakika kutoka kwa Dean wa Sheria UDSM. Kwa aliyeomba ushauri ni kwamba Hawei kupata pale labda ajitahidi apate Diploma au ajifunge kibwebwe afanye mitihani ya Kidato cha sita. Kwa wanaosema div 3 na 2 za kumwaga huo ni uongo maana UDSM haichukui wanafunzi kwa kigezo cha kupata mkopo ama la kwa sasa. Mwisho ilikua 2006 ambapo kabla ulikua ukipata admission inakueleza kabisa wewe ni government sponsored au private student. Kwa sasa ni mkopo hivyo kila mmoja anachukuliwa kama mwanafunzi. Sheria kwa UD ni moja ya kozi zinazochukua wanafunzi waliyofaulu vyema form six kama ni hao wa 2 au 3 mnaowasema lazima atakua na amefanya vyema sana form four.
 
Kama hivyo ndivyo asome preferbly diploma in what? Miaka 2. si mingi sana
 



wapo....kuna mtoto wa naibu waziri Tizeba....apo...anaingia mwaka wa nne sasa..ni private...
 
inatakiwa ufaulu wa distinction yaani B+ tano au A nne excluding DS and CS.lakini kupata huo ufaulu sio kazi ndogo its almost impossible..anachoweza fanya aende ajaribu bahati yake,asipopata hio disctn ata apply for foundation course open university mwaka 1,then akifaulu paper mwaka unaofuata utajiunga na masomo ya degree sheria,hio itasaidia kuusave mwaka 1....kama yuko committed anaweza.
 
nina ushahidi wakutosha anaweza ila inabidi apate distinction..iwapo akikosa tuwasiliane nikupe altnativ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…