TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,095
Huogopi kupigwa mtungo?Me nataka unibebe pia ila ni demu si poa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huogopi kupigwa mtungo?Me nataka unibebe pia ila ni demu si poa
Ila watu siku hizi mna tamaa! Wnzi za mwalimu tulibebana kwa hiari na bila kulipishana. Tena kisa mtu yuko off campus tu, anakaa na mshkaji main campus.
Haya bwana, biashara njema.
vp kwa 150,000 mkuu?
sorry apollo nilikuwa namjibu demu wangu kwanza. Laki na hamsini noma, laki na tisini njema
I remember my life at campus, especially at Hall Six! Kubebana Ilikuwa more a brotherhood courtesy than monetary or profit making business