Karibu asilimia 30 ya wanachuo( udsm) walofanya mitihan yao ya supp/special wamejikuta wakidumbukia kwenye kiitwacho carry over,source; mmoja wa wadau wa mambo ya elimu
mpigamsuli naona unataka bifu na Perry!!Ahsante kwa taarifa wapi perry? sidhani kama atakuwa amesalimika
Ahsante kwa taarifa wapi perry? sidhani kama atakuwa amesalimika
Ahsante kwa taarifa wapi perry? sidhani kama atakuwa amesalimika
Hata mimi ni hivyo mkuuu , GPA imeongezeka ila hawajajaza marks paleivi ARIS unajuaje kama umepass supp au una carryover maana mm yangu GPA imeongezeka afu kwenye remark wameandika pass ila kwenye sehemu ya maksi za masomo nliyo supp hawajajaza kitu
take bow please...nishakukanya kua ctaki mazoea na wewe!
mhh perry, mkuki kwa nguruwe mtamu ila kwa binadam ni mchungu,we si ndio unayeleta mada za vyuo humu.
Mpigamsuli endelea na game,hakuna droo yoyote na perry
Wanatakiwa wawe na retake ili waache ubishooo wa mlimani city na kujiona wao ndo wapo chuo bora tanzania
take bow please...nishakukanya kua ctaki mazoea na wewe!
umetupa ya chuo kikuu.. tupe na ya chuo kikubwa dodoma
...hadhi ya chuo imeshuka sana,so mtapigwa supp mpaka mtie akili...