bampami JF-Expert Member Joined Nov 5, 2011 Posts 5,699 Reaction score 4,117 Oct 9, 2013 #21 Ahsante Mungu kwa Neema yako kwa upendo wako hatimaye nimepita baada ya kusotaa na sup moha tu Mytake: Udsm si mchezo ndugu zanguni hasa udbs, unahitaji kuwa makini sana sana na kitabu.Mungu ahsante ahsante tena ahsante.
Ahsante Mungu kwa Neema yako kwa upendo wako hatimaye nimepita baada ya kusotaa na sup moha tu Mytake: Udsm si mchezo ndugu zanguni hasa udbs, unahitaji kuwa makini sana sana na kitabu.Mungu ahsante ahsante tena ahsante.
TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,095 Oct 9, 2013 #22 Perry said: take bow please...nishakukanya kua ctaki mazoea na wewe! Click to expand... Njoo UDASA hapa unywe supu
Perry said: take bow please...nishakukanya kua ctaki mazoea na wewe! Click to expand... Njoo UDASA hapa unywe supu
K kataleya JF-Expert Member Joined Dec 9, 2012 Posts 223 Reaction score 53 Oct 9, 2013 #23 Dreson3 said: Vilio tena wakati wanacarry IFM wanaodisco wasemeje Click to expand... yan ata mi nashangaa...ifm watu wanadiscko+kurudia mwaka ila wanajikaza kiume afu wanahama chuo
Dreson3 said: Vilio tena wakati wanacarry IFM wanaodisco wasemeje Click to expand... yan ata mi nashangaa...ifm watu wanadiscko+kurudia mwaka ila wanajikaza kiume afu wanahama chuo