Nilikua natembelea website ya chuo cha ukweli nikastuka kidogo nilipokutana na hiyo link ya .pdf ambayo lugha yake sikuielewa kidogo,wadau nisaidieni.....hapa mtu akinyimwa kazi akapewa alie serious utasikia oooh aaaaah eeeh...tukipewa kazi jiiiiiiiiiii shame on you.......http://udsm.ac.tz/postgraduate/postgraduate_prosp.pdf
Wanakomaa na wale graduates wa miaka ya 90, kiukweli hawajui kitu. kozi moja ikigoma kusajili kwenye system ni ishu, msela wangu anahangaika mwezi wa pili sasa. aaagh!