UDSM sasa kibadilike na kiruhusu andiko la kitaaluma kwa Shahada ya Kwanza

Project za magroup zinafanyika lkn research kuhusu kile ulichosoma na kupresent na kuaimamiwa na kuandika andiko la kile ulichofanya hakipo labda Dvc aje aniprove wrong

acha unafk njoo coet hakuna project za magroup ila kuna individual projects kwa final year tena kwa mwaka mzma nakushangaa sna kwa nn mnakichukia sna hk chuo? mtasubir sna ila ukwel unajulikana
 
acha unafk njoo coet hakuna project za magroup ila kuna individual projects kwa final year tena kwa mwaka mzma nakushangaa sna kwa nn mnakichukia sna hk chuo? mtasubir sna ila ukwel unajulikana

Toa tittle ya research yako hapa jf kuthibitisha hilo
 
Bodi ya.mikopo inatakiwa kutoa hiyo pesa mbona vyuo vingine wafanya hizo tafiti? Kwanini sio usdm au kuna ajenda ya siri ktk hili?
kama ni project writing mbona vyuo vyote vinafanya ktk final years, research na project writing ni tofauti, hiyo project inamjengea student skill ya kujua mtililiko wa uandishi wa research...any way research gharama yake kubwa!!
 
acha unafk njoo coet hakuna project za magroup ila kuna individual projects kwa final year tena kwa mwaka mzma nakushangaa sna kwa nn mnakichukia sna hk chuo? mtasubir sna ila ukwel unajulikana

Sichukii hicho chuo Mimi pia ni alumni WA udsm bro
 
Ni ubunifu wako au kuna vyuo unavifahamu vyenye utaratibu huo.
 
Sisi tuliosoma UCLAS by then tulikuwa tunafanya research semester yote ya mwisho. Ndio maana product ya UCLAS by then ikienda Masters UDSM walikuwa Wanafaulu sana
 
Wewe acha hizo mficha maradhi kifo umuhumbua usdm hakuna research kwa shahada ya kwanza full stop

Inawezekana una hoja ila hoja yako inakosa nguvu kwa sababu unageneralize chuo kizima badala ya kuzungumzia kozi yako.

UDSM hilo andiko la kitaaluma ni kigezo muhimu sana cha kutunukiwa degree yako.Na lazima ulitetee kwenye mahojiano.

Binafsi sikuwahi kusikia kama kuna wasiofanya hili,Sasa ungefanya vyema kusema kozi fulan hawafanyi badala ya kuzungumzia chuo kizima jambo ambalo sio kweli.
 
Sisi tuliosoma UCLAS by then tulikuwa tunafanya research semester yote ya mwisho. Ndio maana product ya UCLAS by then ikienda Masters UDSM walikuwa Wanafaulu sana
Mpaka leo inaitwa Ardhi Univerdity .bado mwendo ni uleule wa dissertation
 
Toa tittle ya research yako hapa jf kuthibitisha hilo

Fanya kama msomi, ebu sema ni kwanin umesema hakuna?lazima uwe na data, sasa toa reference hapa mfano ya hiyo kozi ambayo haina hicho?

Kukomalia chuo kizima unazidi kuonyesha kuwa una lack information muhimu ambayo ulipaswa kuwa nayo kabla hujaleta mada kama hii,wasomi wanapaswa waongee kwa data.
 
Mkuu inategemea na course kwa mfano watu wa statistics huwa wanafanya kuna my friend alifanya kuhusu informal employment and poverty reduction in Tanzania. Au hiyo nayo siyo research?
 

Wenye hizo kozi wamo humu tena ni wengi sitapenda kuzitaja lkn najua wanapitia huu Uzi nakuuchuna tuu,mabadiliko ni muhim sana kwa udsm kama kuna watu hawaoni hilo ni tatizo basi tunakaz kubwa
 
Wenye hizo kozi wamo humu tena ni wengi sitapenda kuzitaja lkn najua wanapitia huu Uzi nakuuchuna tuu,mabadiliko ni muhim sana kwa udsm kama kuna watu hawaoni hilo ni tatizo basi tunakaz kubwa
Hatupo kwenye kahawa hapa,ungeandika basi kuwa kozi fulani hazina hiyo kitu na sio kuandika UDSM.Bila shaka unaonyesha hapa miongoni mwa matatizo tuliyonayo ni kuwa na wasomi wenye vyeti tu lakini hawana taaluma.Wewe ni mfano mzuri wa watu hao maana msomi hawezi kuleta mada bila data.

JIFUNZE KUTAFUTA KWANZA DATA KABLA YA KUKURUPUKA
https://udsm.ac.tz/sites/default/files/2013-2014_4 Prospectus [CoICT pg 104-119).pdf

44. Final Year Projects will be assessed and the results contribute to the final GPA for degree classification.

45. Assessment of the Final Year Project shall base on a written Project Report and Oral Presentation of the Project work. Student shall submit error free copy of the Final Project Report.

46. The weight of Project will be determined as for any other course, based on the number of contact hours. the total Units from the two Final Projects will be 6.0, where Final Year Project I will contribute 2.0 Units and Final Year Project II will contribute 4.0 Units.

47. A candidate who fails in any of the Final Projects shall be allowed to take a corresponding Supplementary Project. The time allocated for a Supplementary Project shall be 12 weeks after the release of the results.

48. A candidate who fails to clear a Supplementary Project shall repeat the project in the first semester of the subsequent year.

49. Computation of the average score for a degree shall be based on the prescribed core courses, student's project(s) and the three practical training sessions in industry as well as elective courses.
 

samahani naomba nipewe tofauti kati ya research writing na project writing
 
..UDBS kuna kozi ya evening ya BBA,semister yote ya mwisho mnafanya research inachukua miezi sita jumla..ina units 12 sawa na masomo manne..
 
Nadhani Engineering kwa hili wako poa,sawa na vyuo vingine!Huyu lazima ana refer watu wa computer, electronics, informatics, etc huko!For engineers this is a common practice for all engineers, look for a certain problem then design and/fabricate the solution to the problem for three semesters 6th, 7th and 8th(na hapa simaanishi PT)
 
mbona huwa tunafanya dissertation! Au unazungumzia course gani ?
 

Unakielewa vizuri inachokiandika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…