udsm selection na mkopo

nover

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2012
Posts
239
Reaction score
178
kwa wale wanaodhani kua zile herufi za mwisho kwenye matokea ya o level ni grade ya mkopo sio sahihi.Kama ukiangalia matokeo ya watu wengi o level hayaja kamilika sababu ile space ni too short kuandika kila kitu. as a result zile herufi ni mwanzo tu wa somo jingine mfano A ni agriculture, B ni basic mathematics au book keeping, C ni chemistry ama commarce......kama ukitaka kuhakikisha angalia wote mnaosema wamewekewa grade B, hawana basic maths results/book keeping, ambao hawana erufi/grade ni waliochukua masomo machache(8) hivyo kutoshea .nawasilisha wakuu
 

Na waliowekewa "R" je??.. sidhani kama uko sahihi
 
R ,nadhani hilo litakua somo la ufundi....ntalifanyia uchunguzi zaidi
 
mh! Sidhani kwa sababu kuna mchizi wangu tumeskul nae kaandikiwa R na skul yetu kulikuwa hamna hilo somo

angalia wenye masomo machache hamna ata mmoja alie wekewa grade...... telecomunication weng hawana Basic maths results na karibia wote wana B,:A S-baby:
 
Tcu inaua taaluma tanzania. Vijana angalieni kwa jicho la pili. Hakuna anayehangaika kwa ajili ya maisha yako. Ni vyema wawe wakweli kama kazi imewashinda. Bado nafanyia utafiti nitoe report ya kueleweka na nini muaafaka wa wanyonge wanaopuuzwa hata ktk mambo ya msingi kama elimu. Nitarudi.
 

umejitahidi kufikiri lakini umekosea.ile inaitwa mean grade ya masomo yako
 

Ninakusubiri uje unifute utando wa macho na kuzimua UBONGO wangu design kama umelala kwa hili.
 
jamani tuvute subira tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! muda ukifika loan board wataanika kila kitu peupeeeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…