Vijana wa chuo someni kwa bidii acheni dhambi coz malipo yake ni mauti.ona huyu dogo 21yrs aisee ....inasikitisha
Alafu hayo mabumu tumieni vizuri sio kununua mavitu kama simu nzuri nk hiyo ni kukuwezesha wewe ule stationary nk sio mshahara huo mpaka mkalewe,muhonge wadada ambao wanapata mabumu kama nyie
kuweni makini dunia haina huruma shauri yenu
Last but not least Mcheni Mungu matamaa, anasa nk vitawakimbia vingineya hamwezi kusurvive vyuoni coz kuna majini ya ngono,ya kubadilisha life style za watu,ya kuchetua watu bila Mungu hamwezi kushinda vishawishi na matukio kama hayo ya kujinyonga