UDSM Transfer

UDSM Transfer

Kivule

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
639
Reaction score
662
habari wakuu, hivi jaman matokeo ya walioomba kuhama kozi yanatolewa lini apo chuo kikuu cha mlimani UDSM??? mana hii ni wiki ya 4 sasa, mwenye uzoefu naomba anijuze hua yanatoka wiki ya ngapi???
 
sio kiherehere muda unaenda, nimeuliza wanatoaga wiki ya ngapi coz now ni wiki ya 4??? ni swali tu.
 
kaulize kwa Dean wa college yako unakotoka au unakokwenda.
 
ahsante kwa ushauri dada victoire
 
Back
Top Bottom