Udsm,udsm ingia hapa fasta

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,006
Reaction score
13,281
Hv ukipewa 3.452.000 hapo udsm na unasoma education mgawanyo wa ada na acomodation unakuwaje!
 
tafadhar nenda kachek tena kwenye web ya heslb mbona kuna mgawanyo unaoeleweka nn,jaman walimu kuwen makini nyie wa2 makini sana au arts nn! funguka 2kusaidie maana hesabu umeacha toka darasa la 4,duh! ngwini hawa xaxa
 
nikadhania kuna la maana kumbe pumba tu,,bodi wamekuwekea kila kitu,wewe unacalculate % tu afu unaweka post et udsm ingia hapa faasta??
 
We hizo ni shida zako ya nini kukurupushana embu 2ache tafadhali na udsm ye2
 
wote mlojibu pumba hapo juu Mna tabia za ki homo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…