Ndugu sisi tuliokosa mkopo ambapo tuliahidiwa na wizara twende jana watupe majibu ya hatima yetu. Tulichofanyiwa jana ni ujinga na dharau zisizostahimilika, et toka tar.20 waliyotupa ahad mpaka jana tar.27 wanasema hawajafanyia kaz swala letu kbs.Naibu wazir anasema hajuh chochote kuhusu sisi. Ila tatizo nilogundua ni udhaifu wa viongoz kutokuwa na msimamo wa kukubaliana na katibu wa wizara ahad zisizo na time frame et tutawasiliana na wazir, how? Tutamtumia email. So tumepanga leo kwenda kwa wazir mkuu, ila kiukwel hii nchi ni ya ajabu sana. yan wanachojua ni kutishia watu na maaskar wenye miveo ming mabegan na virungu.Jana tulikaa wizaran mpaka saa 1 ucku. Yaan hakuna matumain ya sisi kupata hiyo mikopo.