Udsm, udsm, udsm.

scopio

Member
Joined
Aug 24, 2012
Posts
47
Reaction score
5
kwaya ya mtakatifu flomena mabibo hosteli chuo kikuu cha udsm inawakaribisha wanafunzi wote wanaopenda kujiunga na kwaya hii. njooni tumwabudu mungu kwa kuimba .pia tunawaalika sana wanafunzi wa mwaka wa kwanza ambao wanatarajia kujiunga na chuo mwezi ujao. njoone nyote msumbukao na kuelemewa na mizigo nanyi nitawapumzisha asema bwana (l:k 4) mbarikiwe na bwana.
 
mimi nimechqguliwa ud je tutakaokua main haituhusu.
 
Libarikiwe jina la bwana...samahani mkuu,hiyo kwaya ni ya dhehubu gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…