Kibonde kaishia kidato cha 4, akatunukiwa NECTA CSEE yenye IV ya pointi 33, yaani ana D mbili, na F zote zilizobaki, credit 0. Tutegemee nini kwa mtu huyu.
Kaka nijuavyo mimi ukiwa na D mbili basi unakuwa na div 4 ya points 28 na nadhani ndio ya mwisho na ikiwa utapata D moja basi unakuwa na points 29 na unapata Div 0 sasa ikiwa ni kweli ana points 33 basi ana ziro na kama akiwa na D mbili atakuwa amepata Div 4
Inawezekana kabisa kuwa wewe hukumalizia form four Tanzania labla umemalizia nje ya Tanzania. Kabla ya kukosoa mtu unatakiwa kujiridhisha kwanza kuwa unachotaka kufanya kinaukweli gani na alichofanya mwenzako kina uongo gani.
Mfumo wa ukokotoaji wa points kwa form four kama hujui upo hivi. Kwanza ili uitwe school candidate ni lazima u-seat mitihani isiyopungua saba katika shule iliyosajiliwa na uwe unafanya mitihani kwa mara ya kwanza. Kwani points huwa zinaangaliwa kutokana na masomo saba uliyofanya vizuri. Mtiririko wa points upo hivi (A = 1; B = 2; C = 3; D = 4 and F = 5). Sasa utaona kuwa katika masomo saba ukipata "A" yote unakuwa na Division one ya Points 7 the highest you can get. Na ukipata F yote unakuwa division 0 ya points 35. Division zero huanzia points 34 na division four huishia na points 33 kama umepata D mbili tu and the rest "F" ( 5 points for five Fs = 25points plus 4 points for two Ds unakuwa na points 8 jumla points 33).

ninashaka na elimu yako wewe, hata hujui four inaishia point ngapi? tena point 28 unazozitaja hauna hata hakika nazo bali unadhani tu! Usitake kuupotosha UMMA.
Wanafunzi wa chuo kikuu cha mlimani wanaokaa mabibo hostel na wale wa kampasi wameanzisha tena solidarity na maandamano yao yanalengo moja la kupinga matamko ya chooni,ya kukurupuka ,yakijinga ya shosti.kibonde dhidi ya madai yao ya msingi,maandamano yameanza muda wa saa 2330 pm na utawasikia wanaimba kibondeee kibondeee,na kama asipokuwa makini wanaweza kumuharibia hata kaukumbi kake ka-disko kanaitwa club le mambo kapo pale external,oooh hv jamani tumfanye nini huyu mnyama jamani?
Kilaza ndiye anapaswa kujua four inaishia ngapi na zero inaanzia wapi lakini mtabe yeyote anapaswa ajue tu one inaishia wapi na kama ni kichwa zaidi single digit zinaishia wapi full-stop.
Wasomi wa tz bana,mnajiona mko matawi kufika varsty na mnataka tuwatreat as if u r GOD..ticks me off ,kwa usomi gani ,show me a single inovation u did ...NOTHING...usomi wa kukalili what is bunsen burner ndo maana mnacopy ata maandamano ya EGYPT sasa ndo ivo misri watashimdwa nanyi vilevile.
Mh kwani kibonde ni nani...inaonekana anawapa headache sana POLENI VIJANA mtakua tu msijali sana
Naöna mnabishana tu calculation za division sijui point a lot of BS huyö kibonde achaneni naye SOMENI EBO.
Afu mkiandamana mfanye ya ukweli cio mnaigiza maandamano gani hamna hata wanatandikwa risasi,wapi ushujaa wenyu?
Lazma mjitolee ajili ya nchi hii SAWASAWA?