udsm wacharuka na kibonde...

Kusema kweli hawakutakiwa kupoteza muda wao kuandamana kwaajili ya mtu ambae siye anaetoa maamuzi!Wang'ang'ane na serikali kwani kibonde sio msemaji wa serikali mpaka watumie nguvu kupingana na kauli yake!Hata hivyo labda kauli yake ina kaukweli ndani yake..na kama hawakubaliani nayo watumie mahesabu kuonyesha sio badala ya kuzunguka na gadhabu isiyo na maana!
 

nashukuru kaka kwa kumuelewesha huyo jamaa ambaye ni wazi hajasoma tanzania au kama amesoma basi ni miaka ya nyuma sana kabla utaratibu unaotumika ku calculate division haujaanza kutumika. Ili upate div 4 ya 28 unatakiwa upate D 7 sio mbili kama jamaa anavyodai. Anyway kibonde anapaswa kuomba radhi wanachuo na ajifunze kuacha kuropokaropoka hovyo..
 
Unajua bana hata mimi nashangaa watu eti manaoitwa wasomi wa chuo kikuu. Wao wanaandamana kueleza mawazo yao, waziri kesho anakuja udsm kuwasikiliza. Lkn wao wanachuo hawawezi kusikiliza mawazo ya mtu yeyote anaewapinga. Hi ndio democrasia ya chadema? Waseme wao tu.

Ama kweli mtwana ni mtwana tu hata akiwa na degree ngapi hawezi kufanya la maana. Natamani arudi tena adolf hitler ate awatawale tena hawa watanganyika. Au waje makaburu wa afrika ya kusini ndio mutanyooka. Nyie munataka muendeshwe kama punda kwa magongo. Ustaarabu wala uhuru wa kutoa maoni hamuuwezi. Kwendeni zenu.
 
Tatizo siyo Kibonde as individual tatizo ni yeye anavyotumia media kudanganya umma kwamba wanafunzi wakipata boom ni kujirusha sana kununua laptop viatu vya high heels kitu ambacho siyo kweli kumbuka zaidi ya nusu ya wanachuo wanakaa off campus wamepanga pia wanatakiwa walipe nauli pia chakula nacho watoe humohumo kwenye elfu tano hivi kibonde angekuwa yeye au mwanae angeweza kweli?
Halafu wapuuzi kama Kibonde wanatakiwa kukomeshwa kwenye jamii angalia upuuzi aliofanya wakati wa uchaguzi kuwapaka wapinzani matope kwa uchochezi na mambo ya uwongo kitu ambacho ni nje ya maadili hata ya taaluma yake sidhani kama ameisomea kweli kwani enzi zile na hiyo four yake ya mwisho sidhani kama angepata chuo chochote hapa bongo ashukuru kukaa mtaa mmoja na Luge upanga enzi hizo sasa my take huyu mtu lazima aombe samahani kwa upuuzi alioufanya kwani asije akageuza tz kama Rwanda kulikuwa na redio moja kazi kuchochea vurugu.:sad::sad::sad:
 
@mtabe ,una lugha mbaya sijapata ona dunia nzima ni kwako tu duh!!Jione ulivyokurupuka na kuforce kuandika kiswahili kibovu na kujitutumua :-


-democrasia-ni demokrasia
-bana-ni bwana
-Anaewapinga-anayewapinga
-ate-aje
-mutanyooka-mtanyoka
-munataka-mnataka,duh hadi nimechoka ,hebu kwanza fanya masahihisho then uandike upya ndo tukuelewe maana ya hoja yako,halafu kumbuka kwa kila noun au majina tunaanza capital letter ,vp unatumia simu ya ki-china ,hyo si hoja yangu but wot i want to tell you bro. penda kuchangia mada with gud reasons au ka vp karudi tuition ya lugha mana lugha yako inakera hadi unaonekana unaongea pumba,nawasilisha kwako mtabe
 

Unajua mashairi tu wewe kenge!
 

Msalimu Muhongo Mchungu na kaka yake MS
 

we ndg usihangaike na MTABE.. Huyo ni Mtatiro, naibu katibu wa cuf.. Fatilia hoja zake utamjua tu.. No points, ye ni kuvutia upande wa cuf tu. Shame on hm..
 
@mbumbumbu,thank you kwa kunijuza,kumbe ndo mana limeenda nimesikia limebadili jina kisa cuf,shame upon his face
 
 

Natamani kukutukana lakini kwakuwa wewe ni kibonde kama jina lako nimekureserve for some time i wl come back later when mod is asleep.
 
Huyo Kibonde ni nani? Au naye anaubia na mchongo wa Dowans?
NA LAITI INGEKUWA HAPA NI SOMALIA ALISTAHILI KUPIGWA MAWE KWANI HIZO NI DHARAU KUBEZA MADAI YA UMA tena ye mwenyewe hata hana influence kusema wangemweleza yeyd angewasaidi "heri uwe mfungwa na sio kukosa fikra kama kenge mdudu ambaye akikaka juu ya jiwe kuota jua akafumaniwa na mvua anakimbia kujificha bwawani kwenye maji machafu na tope" boared...
 
nafikiri wanajishusha hadhi yao hao wanafunzi! Who is kibonde in this country? To me he is just a cheap puppet being used by stupid ****** who think tanzanians of this era are still watching without seeing as they used to be... Ignore him he has enough problems with his health already
 




[B said:
Elungata[/B];1589414]Inawezakana siwafahamu jack labda unieleweshe NI WAPI HAo.sina uhakika na ntwk kama sitajibu ujuwe sipati mtandao ila nitarejea kusoma response zako anytime



kweli wewe kibonde ni kiazi, huwezi hata kuficha identity yako!!


To Hell kibondez ID
 
WanaJF
MBUZI NI MBUZI TU HAWEZI KUWA SIMBA NA WEHU WAKE WAKIJINGA KUJIRUSHA JUU NA KUJIANGUSHA CHINI SIJUI faida yake nini
 
Huyo ni Kibonde tu hata kama ameficha identity yake,waswahili wa Pemba tunawatambua kwa vilemba,Kidonde tunakutambua kwa pumba zako,eti pointi 28 huna haya,si umuulize Bonge au Dina hapo pembeni yako,au leo studio uko peke yako nini?Unaboa kweli Kibonde!
 
Angesema basi SIJUI,kama wewe ulivyosema hujui Div 4 inaishia pointi ngapi,tumekuelewa,vipi Div one inaishia ngapi?!Waungwana kwa vitu ambavyo hawavijui wanasema wazi SIJUI,husione aibu,hata raisi wako amesema Dowans SIIJUI na wamiliki wake SIWAJUI.
 
Kilaza ndiye anapaswa kujua four inaishia ngapi na zero inaanzia wapi lakini mtabe yeyote anapaswa ajue tu one inaishia wapi na kama ni kichwa zaidi single digit zinaishia wapi full-stop.

kubali umechemka na uombe msamaha.kipanga anajua kila kitu hata mambo yasiyohusu masomo.

Haya jamani mie mmenifanya nifurahie tu basi... wote mna point!!
 
Kiboonde mwenyewe hana jipya tangu apewe wadada katika jahazi ashakuwa shosti anakera bora kipindi waachiwe wadada ila udsm student wameanza kukosa mwelekeo wa elimu na hadhi yao ya kuitwa wanafunzi wa elimu ya juu eti wanandamana kwa kibaraka kama kibonde hawana hata haya wanatakiwa watoe hoja za msingi na cyo upumbavu kama wanaofanya
 
Wanafunzi na mtoa mada wote wapumba**. Is like kichaa achukue nguo zako mtoni ukiwa unaoga uanze kumkimbiza ukiwa uchi. Kisa? Unataka umnyang'anye nguo zako

haya sasa we wa mtoni ukitaka kuondoka utavaa nini au utaishi kwenye maji kama chura.....!!eeeh
we hebu acha maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa ongea reality....... me huwaga nawachukia malofa ambao hawana alternative way of solving the problem ila wanakandia za wenzao.... Ungekuwa wewe ungechukua hatua gani..........?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…