UDSM yafurika

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,137
Reaction score
17,908
Watu wa Conference wamewasili.Juma lijalo wanaingia mzigoni. Wengi sana mwaka huu. Mwaka wa kwanza mje mjionee wenyewe na mjifunze. Kazeni buti ndugu zangu...elimu ya chuo ni ngumu kuliko ya msingi au sekondari.

Kila la kheri wapiganaji wa UDSM. Proud to be UDSM Alumni
 
Mimi nimemaa nisha kwamba anasifia /wanachuo\chuo kwa kutoa supp


Acha ubabaishaji na longolongo dogo....nanukuu post yako uliyoi-delete
"Ndio nini sasa unajisifia kupata supp"...hapo kuna uhusiano gani na maneno yako ya hapo juu???
 
Acha ubabaishaji na longolongo dogo....nanukuu post yako uliyoi-delete
"Ndio nini sasa unajisifia kupata supp"...hapo kuna uhusiano gani na maneno yako ya hapo juu???

TAsfsiri yangu ndio yangu kama hutaki endelea na tafsiri yako unayoijua
 
Huyo dogo akakojoe akalale. Hajui kuwa hata Supp ni muhimu unapokuwa na carry-over? Na yenyewe (CO) pia ni muhimu utapokuwa na disco. Hivyo aache kupayuka.

Aisee nami nimetuma message kuhudhuria Alumni nasubiri majibu. Ni kitu muhimu sana.
 
Pamoja sana mdau,me nitatinga hapo mjengon jumanne.over
 
Kushindwa mtihani ni hatua ya mafanikio, hivyo kushindwa kwao mtihani si jambo la kushabikia! Mimi nawatakia mtihani mwema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…