UDSM ni chuo bora Afrika kuliko vyuo vyote. Na kinaweza kuwa bora zaidi kikifanya yafuatayo:
1. Mwanafunzi anaye jiunga Bachelor aandike study plan au personal statement.
2. Mwanafunzi anaye hitimu Bachelor aandike na kupublish research paper moja kwenye journal kubwa duniani.
3. Mwanafunzi anaye hitimu Masters aandike na kupublish research papers mblili kwenye journals kubwa duniani.
4. Mwanafunzi anaye hitimu Masters aandike na kupublish research papers tatu kwenye journals kubwa duniani.
Kwa mwaka kitakua na publication = PhD (65Γ3) + Masters (522Γ2) + Bachelor (1291 Γ1) = 2,530
Hizo tafiti zitapelekea chuo kipate citation score nyingi sana ambazo zitaongeza alama ya chuo (Citations per Faculty Score).