UDSM yashuka kwenye list ya 'Top African universities'

Mbona kwenye hiyo list sikuiona Muhimbili University, chuo cha madaktari bingwa???????? bongo bwana eti madaktari bingwa... lol

sa jaman muhimbili mbona c chuo kikubwa km udsm
uc compare bwana na vyuo vngine udsm kila ki2 c unaona wanavyotetea abt boom
performance imeshuka bt zey a gud

Mm nasema vyuo vingi Tz, inabidi tubadilike watu waache siasa. Serikali ndoinaharibu vyuo kwakuendekeza siasa zao kwenye mambo ya taaluma. Hv mm aniingii akilini unakuta Prof. mzima unakimbilia kuwa mbunge wakati vijana wanaitaji mchango wako katika jamii. Hta huko kwenye siasa wanafanya madudu kama mikataba feki na kutunga sheria mbovu.
Kama kweli hawa wasomi wangekuwa wanajali taifa leo hii tusingekuwa na matatizo ya madokta hospitalini, wasinge kubali hii bodi feki ya mikopo HELSB kwan watoto wa maskini ndotunaumia wakati wao wanawapeleka watoto wao India/china/USA/UK na kwingine kote halafu ndo hao wanaludi kuwa viongozi kwenye sekta mbalimbali. Inaniuma sana jamani asiwadanganye mtu nchi kuendelea nikupata elimu BORA kwa vijana wengi na kuwapatia mazingira mazuri ya ajira.

Hivi niwaulize hiyo wizara ya vijana na ajira inakazi gani sielewi, hakuna lolote linalofanyika. Hv hata wizara ya jinsia na watoto wanafanya nn kwan naona watoto mitaani wanaongezeka, mabinti wanapata mimba sana, yani inaniuma sana kama kijana watz balaa.
Kama inawezekana ingetungwa sheria kwamba kama kijana wakiume/baba akikutwa anatembea(kamtongoza) binti ambaye ajafikisha umri wa miaka 18 aijalishi binti halikubali mwenyewe au ni kuswekwa ndani kwan nchi yeyote bila maadili ndomwanzo wamatatizo yote kama hayo tuyaonayo. Kwa wasomi kujali sana pesa na kuwa wabinafsi sana.

Nawasilisha.

NDUGU YANGU NAANDIKA NILICHOKIONA.NILIPOKUWA UDSM SIKUONA CHUO NILIONA TAKATAKA.HAYA NI MAONI YANGU.KWANGU MTOTO WANGU HATASOMA HILO DANGURO NA SHULE YA KATA PERIOD.

Dah mkuu kitufe cha thanx hakipo hapa ila kwa madini uliyotoa mi nakupa THANX

tukubaliane elimu za kibongo zinahitaji tija kubwa na changamaoto nyingi sana kutofautisha siasa na elimu. pia research kwenye masomo ya sayansi ni muhimu sana wenzetu unapoongelea research sio za kuona fulani anafanya ni mwanafunzi anaelekezwa na anakuwa nauwewzo wa kufanya yeye kama yeye bila prof. hivyo facilities sio tatizo kwa wenzetu lakini bongo ni michosho ukienada SUA balaa maana chuo cha kilimo lakini unakuta research ziko chini sana nas majority ya wanafunzi wanamaliza hawana ujuzi si kwa sababu tya wanafunzi bali kwa sababu hakuna facilities za kuwawezesha wanafunzi waive kitaaaluma zaidi. ilituboreshe elimu tunahitaji kujipanga upya tutoe siasa na prof. wasikimbilie kwenye siasa watoe ujuzi wao kwa wanafunzi

Gang Chomba;
Dah mkuu kitufe cha thanx hakipo hapa ila kwa madini uliyotoa mi nakupa THANX

Siku zote ukweli unauma, na kuendelea kung'ang'ania msimamo bila mabadiliko haisaidii. Siyo kwa UDSM tu bali elimu yetu hapa bongo kwa ujumla inaelekea kubaya. Ukiwauliza wanafunzi wengi mara ya mwisho kushika kitabu na kujisomea ilikuwa lina majibu utakayopata yanasikitisha. Ukosefu wa vitendea kazi ni tatizo, wanafunzi wanaishia kukomaa na madesa yaliyopitwa na wakati kila siku, unategemea nini hapo kama siyo kukalili? Mambo ya kudesa mtandaoni ndo usiseme, kwa vile wanajuwa walimu hawana software za kung'amua mtu aliyedesa. Hivyo vyuo unavyoona ni bora duniani si kwa miujiza bali ni pamoja na resources/facilities vilizonazo ikiwemo walimu bora wanaopenda kazi zao na wanapenda maendeleo na mafanikio ya wanafunzi wao. Ikiwa na maana wanakuandaa kuwa balozi mzuri wa chuo huko uraiani. Mtaendelea kulalamika tu ajira wapewe wazawa wakati watowa ajira/private wanataka productivity. Tukubali kubadilika na kuangalia ni wapi tulipoanguka. Mambo ya kulinganisha UDSM na CBE, SUA, IFM au Mzumbe hakusaidii jilinganishe wewe mwenyewe. BTW kwenye ajira ubora wako haupimwi kwa chuo ulichotoka bari wewe mwenyewe kulinganishwa na applicants wengine waliosoma katika vyuo mbalimbali dunia.

Tutafakari na tuchukuwe hatua.

huna lolote ulitaka tujue tu kwamba upo ulaya
Una fikra finyu mno.Ukue basi ndgu maana Watz tukiendelea kufikiria namna hii tutazidi kuwa masikini. Ina maan wew hujaona point yeyote zaidi ya hiyo?

huna lolote ulitaka tujue tu kwamba upo ulaya

kuwa ulaya au afrika hilo sio tatizo ndugu yangu,muhimu tuangalie na tuongee ukweli pale inapobidi acha kuwa na mawazo mgando wewe watu kama nyinyi mara nyingi ndio uwa mnaishia kuwa wachawi tu.

jaribu kufuatilia vitu kiasi ndio utajua ukweli na sio kuongea majungu tu,nimejaribu kukupa na refences ili ujue ukweli wewe unaleta siasa tu hapa ndio maana watanzania hatuendelei majungu majungu tu.be educated my bro.

We kilaza ulizoea kumezeshwa sasa umekwenda pale umefeli law school unaleta stress zako,UDSM cyo takataka na ufute kauli yako,angalia Law school wanaofaulu wengi wametoka wap? Hapo hapo unapopaita takataka....2meapishwa na kupata mihuri,so malizia vimeo vyako uje uwe wakili.

Jibu ni moja tu: LEADERSHIP!!

Kama ilivyo serikalini, nafasi za uongozi zinazitokana na urafiki huwa haziambatani na accountability kabisa. Pale UDSM siku hizi unahitaji kuwa kabila fulani tu ili kujihakikishia u-director, u-dean, au u-principal kwa urahisi sana pindi nafasi hiyo ikipatikana katika eno la karibu na taaluma yako.

Kwenye hiyo list mbona hamna Mzumbe???
Top 100 Africa halafu mzumbe haipo!!!
Inamaana haitambuliki kimataifa or?

Mnaonipinga wazazi wenu hawakuwekeza kwenye elimu mkabaki kupata elimu mbovu na ya chini ya kiwango inayotolewa na Serikali.Matokeo yake mkasoma shule mbovu tangu shule ya msingi mpaka Chuo Kikuu(UDSM).Ndio maana kuna watu wanaojiita wasomi wakifungua midomo yao mnajificha chini ya meza maana hamna kitu.ukweli mnaujua kaeni na hilo LICHUO LENU CHAKAVU KAMA MAGOFU YA BAGAMOYO.

NDUGU YANGU NAANDIKA NILICHOKIONA.NILIPOKUWA UDSM SIKUONA CHUO NILIONA TAKATAKA.HAYA NI MAONI YANGU.KWANGU MTOTO WANGU HATASOMA HILO DANGURO NA SHULE YA KATA PERIOD.
siyo bure una lako jambo!

Umeona eeh jamaa walikula kichwa huyu, si bure. Kwake chuo kikuu ni majengo

jenga hoja badala ya kuleta mipasho, tuambie hayo magofu yanashusha vipi elimu? Hivi hata pale UDBS kuna unayoyaita magofu?

Kuna mijitu mijinga badala ya kucoment on the issue,wanaleta mambo ya MUHAS,MZUMBE,UDOM, SAUT,ndio maana chuo chenu kinazidi kudrop.

Hahah..
Sikushangai.. jina lako linakusadifu wewe ni mtu wa aina gani!
Kwa Tanzania sioni chuo chochote chenye quality ya UDSM

Mimi binafsi sioni ajabu UDSM kuangukia pua. Lakini kwa Tanzania ni cha ngapi kulingana na hiyo ranking? Kama ni cha kwanza basi hiyo ni reflection ya elimu inayotolewa Tanzania au kwa maana nyingine ni kwamba elimu ya Tanzania inashuka! Hivi Tanzania kuna Chuo kikuu kimoja tu? Hivyo vingine ambavyo nasikia vinaitwa vya kata viko namba ngapi?

Kwa hali kama ile mlimani lazma tu kiwango cha elimu kishuke, kwa sasa pale ni siasa mbele, elimu baadae na ndo maana migomo haiishi pale,wanafunzi wa pale full stress!!!!!!!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…