Inasikitisha sana.. Vip kuhusu walivyosema wanataka udom ndio ipande rank mpaka leo chali! Hata bodi ya mkopo inahusika hapa.. Pia tatizo hatuboreshi vyuo vyetu, mpaka vianguke ndio tunakumbuka. Ila bado tu natamani nipangwe udsm ila TCU MPAKA LEO HAWAJATOA MATOKEO!

Hyo ranking ni fake,udsm haiwezi poromoka kwa kiasi hicho bana.

karibu sana dogo..

Nimesikitika sana kutoona SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE (SUA), Yaani hata 100 bora za Africa hakipo. kimeshindwa na vyuo vya Malawi na Sudan. Duuuuuu!!!!

HIYO RANK NI FAKE.. UDSM HAIJAPOROMOKA HIVYO KIMEKUWA CHA 22 AFRICA.. Updated list of best universities in Africa with Unilag topping 9ja's list | Nigeria

dah!!lakn 2na hali mbaya,naona SUA wana2fukuzia kwa kasi ya ajabu balaaa..
evidence unayo hapo nilipo board!!!?
UDSM hatufichagi vitu, na ndio mahali ambapo mabadiliko mengi hasa ya wanafunzi wa elimu ya juu huanzia. Kutokana na hilo viongozi wa serikali akiwamo baba Ridhi wanafikiri kuwa UDSM students wanafujo, muda fulani wakatuita wahuni, wakati mwignine wahadhiri wetu wanaambiwa wanafundisha siasa madarasani badala ya masomo husika. Kutokana na hayo serikali inakitenga sana UDSM. Mimi nnamaliza mwaka huu wa nne Bsc. Computer Engineering & IT sijaona hata mara moja presda anatembelea UDSM kuwaona students. Sasa hivi imehamishia macho UDOM ndio maana ukisikia speech mifano ni UDOM. Huu ni sehemu ya ukweli juu ya jambo hili kaka.
kushuka kwa elimu ya tz ni kutokana na wahadhiri kutokusaminiwa , iweje Mbunge anayepiga kelele za NDIOOOOO ! apewe mil 12 per month ,
wakati huo Prof yeye ameweka mgomo kisa hafaidiki na mafao yake .
Hata huo utaalam tunao utafuta umepungua sana thamani yake hapa tz kwa sababu mambo yote siku hizi ni "kimjini mjini" , mwanafunzi akiwa na "mjomba" yuko kwenye system , hana shida ya kujua sana sababu kazi tayari anayo tena yenye marupurupu ya kutosha.
Iweje mtoto wa diploma wa TRA apate fedha sawa na Dr wa UDSM ? huu ni mwanzo tu wakuu ........