UDSM Yawaalika wadau katika maonesho ya utafiti na ubunifu msimu wa 9 yatakayofanyika Juni 5-7, 2024

Blasio Kachuchu

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
366
Reaction score
243



Chuo Kikuu cha Dar es Salaam- UDSM kinakualika katika maonesho ya wiki ya Utafiti na Ubunifu msimu wa 9 - 2024 yatakayofanyika 5 -7, June 2024 katika ukumbi wa Maktaba Mpya.

Akizungumza katika Ukaribisho huo, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo - Utafiti, Profesa Nelson Boniface amesema mwaka huu wamejipanga vyema hivyo washiriki wajitokeze kwa wingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…