Udsm

Udsm

sifuri

Senior Member
Joined
May 12, 2013
Posts
154
Reaction score
88
masaada jinsi ya kuandika barua ya kubadilisha course ndugu zangu wa udsm. Natoka geology(conas) kwenda bcom(udbs)
 
Ndio maana umeikimbia geology,
Unamaanisha hata kuandika barua ya kuhama course hujui?
Kwani ulifauluje o'level?
 
Hahahahaha! Paparazi mkuu unaniacha hoi, dah kwan huyo jamaa kwanini aliomba hyo kozi? Kama vp aende pale admission au kwa director wa undrgraduate studies wanaelekeza jinsi ya kuandika
 
nilidhani watu wema na wachamungu watanielekeza format ya barua inakuwaje bali watu wanajionesha kuwa wanajua ili tuonekane washamba.niseme tu niliuliza kwa nia njema usitafute umaarufu maana umaarufu wa binaadam ni of a very short time brothers.nashukuru kwa mliochangia
 
pole sana. Binadamu ndivyo walivyo
 
masaada
jinsi ya kuandika barua ya kubadilisha course ndugu zangu wa udsm.
Natoka geology
(conas)[font=comic sans
ms] kwenda bcom[/font](udbs)

vp tena classmate? kwnn unahama kozi?
 
nilidhani watu wema na wachamungu watanielekeza format ya barua inakuwaje bali watu wanajionesha kuwa wanajua ili tuonekane washamba.niseme tu niliuliza kwa nia njema usitafute umaarufu maana umaarufu wa binaadam ni of a very short time brothers.nashukuru kwa mliochangia

kjambio wewe.. Nyie ndio dv 3 nyie unashndwaje kuandka barua.. Udom wanakuhitaji Kyamafi wewe.
 
Back
Top Bottom