Udsm

Chachasteven

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2014
Posts
1,941
Reaction score
2,044
Wakuu kuna hii kozi ya bachelor of science in aquatic science and fisheries, inayotolewa hapa UDSM..
Naomba kujulishwa kuhusiana na soko lake la ajira lipoje.?
Hususan kwenye kuajiriwa na kujiajiri.!!
Karibuni jamani kwa mawazo yenu...%
 
njoo usome bsc chemistry iko Poa sana ni PM
 
Ni kozi nzuri maana utaweza pia kujiajiri ktk sekta ya samaki kwa kuanzisha mabwawa ikakulipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…