udsm_muce hakuna kitu bora teKu

udsm_muce hakuna kitu bora teKu

Ibrahimu Juma

Member
Joined
Sep 4, 2012
Posts
39
Reaction score
2
huku hakuna mademu wazuri nahisi nitadisco bila mademu naomba ushauri wakuu! via oil sumu never die
 
Yani wewe ndio unaandaliwa kufundisha watoto wetu?? loh bora kama utadisco kama ulivyojitabiria ili kuokoa kizazi kijacho
 
Tr @oilsumu, vipi tena...??
Yatakushinda;
we ulidhani kila kinyesi ni uchafu, vinyesi vingine ni mbolea na vingine ni umeme....
 
umewahi kuckia chuoni kuna degree ya mapenzi?
kama teku wanatoa degree ya mapenz hautadisco!!!!!!
nakushauri tu achana hao wasichana wa vyuon umefuata knowledge achana na vitu vngne
 
yan awa wanafunzi wanaopata admission na hizi division three ......ni majanga tu.
 
we umevamia ualim huna sifa na bora udisco kbsa usijetuharibia watoto wetu.
 
Back
Top Bottom