Udukuzi ni sehemu ya maisha, kama wewe hujaanza udukuzi anza sasa. Udukuzi utakusaidia nani anatembea na mkeo, nani anapanga njama za kuiba gari lako, basi lipi ni bovu usipande, kiwanja kipi kimeuzwa mara mbili usikinunue, nani ana chuma ulete mtaani kwako, n.k. Udukuzi una faidi nyingi sana kuliko hasara. Dukua tu hata kama mtu ni rafiki yako namna gani, jambo la msingi ni kuhifadhi vizuri taarifa za mtu usizozihitaji na zisizo na madhara kwako ambazo ulizipata wakati wa kudukua. Marekani ina haki ya kumdukua yeyote yule kwasababu hakuna mtu, taasisi wala nchi iliyoipatia Marekani taarifa yoyote ya kuepusha mashambulizi yale ya Septemba 11, hivyo ina haki ya kum-suspect mtu yeyote duniani.