Conrad84
Senior Member
- Feb 14, 2016
- 104
- 43
Twende udzungwa national parks weekend ya mwisho wa mwezi, jumamosi ya terehe 27/8 na kurudi ni Jumapili ya terehe 28/8. Gharama kwa mtu mmoja ni 80,000/- tu. Safari itaanzia Ubungo, Dar es salaam. Wahi nafasi ni chache sasa.
Kwa kuweka seat piga 0763 553 888.