UE za UDOM bwana!! Haya bwana!!

UE za UDOM bwana!! Haya bwana!!

UDOM SR

Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
47
Reaction score
26
ffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffff
uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm
pakkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk
yaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
oooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
nafunga mjadalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
tumeshamaliza UE sasa twende nyumbani tukale ugali wa bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Usitumie udhaifu mdogo kupotosha watu kwa jumuiya nzima ya wana UDOM..wewe kwanini hukusima Udsm? nini kilikupelekea ukachagua UDOM? hebu pata 1st clasa nawewe ukadisco mlimani,, acha dharau zako za kipuuzi wewe...mbumbumbu wa kwanza ni wewe usiekipenda cha nyumbani na kukisifia cha.jirani ambacho hakijusaidii..kama wewe mwanaume fikisha malalamiko yako kwa uongozi wa chuo uuone moto..
 
Mmmh kumbe udom taaluma sio jambo La serious nitamwambia mtoto wangu asichague hicho chuo'
 
Kwa iyo disco ya UDOm ni first class ya chuo cha Kislam cha Morogoro sio?
 
Usitumie udhaifu mdogo kupotosha watu kwa jumuiya nzima ya wana UDOM..wewe kwanini hukusima Udsm? nini kilikupelekea ukachagua UDOM? hebu pata 1st clasa nawewe ukadisco mlimani,, acha dharau zako za kipuuzi wewe...mbumbumbu wa kwanza ni wewe usiekipenda cha nyumbani na kukisifia cha.jirani ambacho hakijusaidii..kama wewe mwanaume fikisha malalamiko yako kwa uongozi wa chuo uuone moto..
Heeeee! jamaa kagonga Ikulu nini? mbona vijana wa UDOM wamepanic!
 
udom bado ni chuo kichanga makini, tatizo udini ndio una kitesa kile chuo.
 
Mleta Uzi huna utafiti wowote uliofanya juu ya jambo hili, napata wasiwasi na hata upeo wako wa kuchambua na kutafiti mambo. Nadhani ukafanye utafiti halafu urudi tena jukwaani utupe habari za ukweli zilizotafitiwa na kuandikwa na msomi.
 
Mamlaka husika chukueni hii halafu mkatendee kazi hapa si kubishana.
 
hilo halina ubishi waliosoma sheria udom wakija law school wanaona kichina tupu utafikiri walikuwa wanasoma engineering
ni chuo cha vilaza kuna director wa HR anaitwa mama sawasawa ndio atupe majibu ya hawa walimu vilaza wamekujaje hapa
 
Mi miaka ile nasoma,nikashauriwa niombe udom eti ntapata kaz mapema maana ni chuo cha serikali,nikawambia ni bora nisome koz ya kufua nguo au kuosha vyombo au kufagia barabara chuo kingne chochote kuliko kusoma bcom au sheria udom.
 
mkuu utafit wako umefanya college zip maana usijeukawa na chuki binafsi baada ya kudisco, maana unayosema ni uongo mtupu ktk college niliyopo
 
Hii posti ingeweza kuwa na maana kama ungetulia na kuondoa suala la udini. Yaani kwa akili yako chuo kina walimu vilaza ila ni wa ile "dini inayolalamikiwa"!!!!!!!! (Kwanza ni dini ipi?). Kuwa makini kijana.
 
Mkuu naomba uwespecific ,ucgeneraliz mambo ukadhan ni wewe pekee uliosoma UDOM wakat tupo kibao tuliosoma hapo na hatujaona pumba zako hizo labda kama zmeanza mwaka jana
 
Udom kuna mambo, ndio maana wanaosema Ukipata first class UDOM ujue UDSM ungedisco mwaka wa pili hawajakosea. Hebu angalia mambo yaliyopo UDOM:-

Usipofanya Assignment au Test, Lecturer anahaha kukutafuta ili ufanye tena mtihani au akuandikie zero na siyo Incomplete. Yaani sheria ya incomplete UDOM ni kama kivuli tu hakuna lecturer anayejiamini kumwandikia mwanafunzi INC.

Mkifanya Assignment au Test mkafeli wengi, basi lecturer anafuta matokeo yote na kuwapa maksi 10 kila mtu za bure.

Kuna masomo yanafundishwa na walimu vilaza sijapata kuona katika historia ya vyuo vikuu mpaka najiuliza hivi interview za walimu wa UDOM zinafanywa na nani? au ni secretarieti ya ajira? maana kama zinahusisha na maakademishani hakyamungu huwezi ukawa na walimu wa sample za UDOM, Sio wote ila ni baadhi na wengi wao ni wa Dini ile inayolalamikiwa sana kuwa ndiyo kigezo cha kuajiriwa UDOM. Anyway bado nipo kwenye utafiti wa hili swala ila nikimaliza nitawataja kwa majina ili mwenye taarifa zao atusaidie.

Kuna wanafunzi wanamaliza UDOM ukiangalia uwezo wao unashindwa hata kuelewa walipitaje semester ya I kuingia ya II, ni mambulumundu squared. Jamani uongozi wa UDOM habu kuweni serious, mtatuharibia na wengine ambao tuna uwezo wetu binafsi. Vyeti vyetu vitawekwa kapuni kwa kuhisiwa ni walewale.

Mimi sijasoma udom lakini niseme tu mtoa mada haupo sawa kichwani mwako,yote uliyosema siyo sifa ya elimu bora,kama wewe akili yako inakwambia mwalimu kumkomesha mwanafunzi kwakumuwekea incomplete ili hasiganye UE hiko ni kigezo cha elimu bora basi ndugu yangu umepotoka sana.
Na pia nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri,sijui ilikuwa mpaka ukafika hapo ulipofika.
 
Ulishazoea elimu ya kukomoana!

Siijui Udom, sijasoma Udom wala sifanyi kazi Udom, lakini nahisi wewe si mzima!

Nyie ndiyo mnashabikia quiz za kuvizia vizia!

Ulitaka dada/kaka zetu wajipeleke ofisini kuomba marks/assignments?

Ndiyo mwanzo wa degree za ch*p*.
 
hilo halina ubishi waliosoma sheria udom wakija law school wanaona kichina tupu utafikiri walikuwa wanasoma engineering
ni chuo cha vilaza kuna director wa HR anaitwa mama sawasawa ndio atupe majibu ya hawa walimu vilaza wamekujaje hapa

Kumbe Mama Sawa Sawa yupo UDOM? Alikuwa UDSM miaka ya nyuma. Ukileta copy za Dissertation akufanyie vipimo lazima jasho likutoke. Hata ikizidi cm moja umeumia.
 
Wameku-Snura wewe siyo siri yaani umevurugwa.
 
We kilaza kwelikweli inaonekana huijui udom, halafu nashangaa sana mtu kulaumu wahadhiri wa udom na kuisifia udsm wakati asilimia 70 ya wahadhiri waliopo udom ni product ya udsm kama kulaumiwa basi ilaumiwe udsm kwa kutoa product mbovu ingawa si kweli
 
Back
Top Bottom