UEFA 2017/2018 kutawaliwa na timu za uingereza,uholanzi na ufaransa!!

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
899
Reaction score
1,231
Ukifuatilia kipindi hiki cha usajili timu zilizoonekana kujiimarisha zaidi ni timu za EPL hasahasa timu mbili kutoka mji wa Manchester na timu moja kutoka Londoni.
Nadhani unaweza kukubaliana na mimi Man united kwa usajili walioufanya na kuifanya timu yao kuwa ya maGIANT wataleta macheko UEFA.Vivyo hivyo kwa upande wa Manchester city wametumia kiasi kikubwa cha pesa kuimarisha kikosi chao na ni dhahiri watatikisa ligi ya mabingwa.
Ukitizama pia matajiri wa London chelsea wamesajili wachezaji muhimu kuimarisha kikosi chao kwa bei mbaya kabisa nao ni dhahiri watatikisa UEFA ijayo
Nchini ufaransa wababe wa paris,PSG, wameonekana kurudi kwenye form kwa kufanya usajili wa kutupa hii ikithibisha ndoto yao ya kugika nusu fainali itaweza kutimia.
Huko uholanzi Ajax Amsterdam wameonekana kufanikiwa kujenga kikosi chao kwa kutumia academy yao na kila mmoja anaelewa jinsi gani kilivyotikisa Ueropa league na si siri na UEFA watauaa.
Timu za uhispania na ujerumani zimeonekana kujisahau katika usajili huku nyingine zikigungiwa usajili na hii inaashiria watakua na kipindi kigumu kwenye michuano hiyo.
Wareno na mataifa mengine yatabaki kua wasindikizaji katika mashindano haya kwa ufinyu wa bajeti za club zao na wataendelea kua academybza kuzalisha wachezaji kwa ajili ya club tajiri.
Italy nao wamejisahau huku wawakilishi wao wakuu Juve na Napoli zikisalia kuuza wachezaji bila kununua wapya wakitegemea uzoefu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dirisha la usajili bado halijafungwa lakini
 
mwaka huu UEFA ni ngumu sana....timu nyingi zimesajili ingawa EPL inakua ngumu zaidi kwakua wenyewe kwa wenyewe wanahela sana hivyo wakija kucheza UEFA wanakua wemechoka maana mechi za EPL zinakua ngumu sn
 
Yaani kuna mwaka EPL imeacha kusajili? yaani bado unaicha Spain nje kisa wabasuasua na usajili? Man U na City pamoja na Chelsea lazima kwanza wachezaji wao lazima wazoeane kwanza hivyo itawagharimu sana.
 

Mkuu unaonekana upo mbali sana na suala la usajili au we ni mfuatiliaji wa epl tu,

Bayern wameshasajili Toliso, james, Rudy na beki ya kati sule

Dortmund tumemsajili Toprak, dahoud, max Phillip na zagadou toka PSG.
 
Ili uchukue uefa unatakiwa uzipige team hizi 3 barca madrid na bayern , hao ata wasajili nani bayern madrid barcelona ni watu ingine uefa don't mess up
 
Zisikutishe Mechi Za Pre Season Waingereza Kipindi Cha Hapa Karibun Wanashinda Sana Linapokuja Suala Kugombea Mwali Utasikia Yupo Spain
 
Ili uchukue uefa unatakiwa uzipige team hizi 3 barca madrid na bayern , hao ata wasajili nani bayern madrid barcelona ni watu ingine uefa don't mess up
acha kukariri ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…