Hatimaye Samatta madini ya Majogoo wa Jiji Liverpool.
Group E
Liverpool
Napoli
Salzburg
Genk
Asubiri ya wamtengenezee mwakani ya upigaji penaltyYule jaamaa hajapata hata tuʼnzo moja? Hata ya upigaji penati?
we kweli mbuteYule jaamaa hajapata hata tuʼnzo moja? Hata ya upigaji penati?
mchezaji bora wa england hiyo sio tuzo kubwa? Hii habari umekopy & pasteEnzi za Cristiano Ronaldo na Lionel Messi za kutawala tuzo za mpira zinaendelea kusukumwa ukingoni, na usiku huu beki wa Liverpool na Uholanzi Virgil van Dijk amewaangusha.
Van Dijk amenyakua tuzo ya mchezaji bora wa bara Ulaya kwa mwaka 2018/19 Van Dijk baada ya kuingoza safu ya ulinzi ya Liverpool kuchukua Champions League msimu uliopita.
Kama Luka Modric alivyofanikiwa kuwaoondoa Ronaldo na Messi katika udhibiti wa tuzo hiyo mwak jana- Van Dijk amekuwa mtu wa pili kuwapiku nyota hao ambao wametamba kwa zaidi ya muongo mmoja uliopita.
Huwezi kumchenga na kumpita
Van Dijk amekuwa baraka kwa Liverpool tangu alipojiunga na klabu hiyo kutoka Southampton na amekuwa kiungo muhimu kuisaidia kushinda Champions League msimu uliopita na pia kuisaidia kuwania taji la Ligi ya Premia dhidi ya Manchester City hadi mwisho.
Kabla ya leo alikuwa hajawahi kutwaa tuzo kubwa yeyote. Lakini usiku huu analala na tuzo mbili; mchezaji bora wa Ulaya na beki bora wa Ulaya.
Takwimu za michezo ya mwaka 2018-19 zinaonesha kuwa Van Dijk aliiwakilisha klabu na taifa lake katika mechi 59.
Alifunga mabao tisa na kusaidia ufungaji wa mabao manne. Pia alichezea Liverpool kwa dakika nyingi zaidi ya mchezaji mwingine yeyote (4,465) .
Katika mashindano yote ameonesha kwa zaidi ya 70% umuhimu wake kama beki.
Liverpool ilifungwa mabao machache(22) ikilinganishwa na vilabu vingine vya Ligi Kuu ya Uingereza msimu uliopita na Van Dijk alichangia ufanisi huo kwa 76.3%.
Ukimlinganisha Van Dijk na mabeki wengine wa Ligi tano kubwa Ulaya mchezaji huyo aliongoza katika msimu wa 2018-19.View attachment 1193005View attachment 1193006
Kundo mdebwedo kabisa hizo. Chelsea asipopita hapo sitamuelewa.kundi la kifo Kundi H na Kundi G
Sipati picha Samatta atamuomba viatu VVD
Kishakamilisha kumbe. Hongera kwake.Samatta hato cheza uefa, yuko Ujerumani kukamilisha usajili wake wa kujiunga na Schalke 04
Hivi huwa wanatumia vigezo gani kupanga makundi?Droo ya kupanga makundi kwa ajili ya michuano ya Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) 2019/20 kuchezeshwa leo Agosti 29, 2019 huko Grimaldi Forum, Monaco kuanzia saa 18:00 CET (Saa mbili usiku kwa majira ya Afrika Mashariki
Timu zinazoshiriki droo hiyo
Matokeo ya Droo iliyochezeshwa leo ni kama yaonekanavyo hapo chini
View attachment 1193003
Wafuatao ni washindi watakaotangazwa katika hafla hizo
Mchezaji bora wa UEFA wa kiume wa mwaka 2018/19 - Virgil van Dijk
View attachment 1193004
Mchezaji bora wa UEFA wa kike wa mwaka - Lucy Bronze
Golikipa bora wa UEFA wa msimu wa 2018/19 - Alisson Becker (Liverpool)
Beki bora wa UEFA wa msimu wa 2018/19 - Virgil van Dijk (Liverpool)
Kiungo bora wa UEFA wa msimu wa 2018/19 - Frankie De Jong (Ajax)
Mshambuliaji bora wa UEFA wa msimu 2018/19 - Lionel Messi (Barcelona)
Kalenda ya msimu
17/18 Septemba: hatua ya makundi, mechi ya kwanza
1/2 Oktoba: hatua ya makundi, mechi ya pili
22/23 Oktoba: hatua ya makundi, mechi ya tatu
5/6 Novemba: hatua ya makundi, mechi ya nne
26/27 Novemba: hatua ya makundi, mechi ya tano
10/11 Disemba: hatua ya makundi, mechi ya sita
16 Desemba: Droo ya mzunguko wa 16 bora
18/19/25/26 Februari: mzunguko wa 16, mechi ya kwanza
10/11/17/18 Machi: mzunguko wa 16, mechi ya pili
20 Machi: droo ya robo fainali na nusu finali
7/8 Aprili: robo finali, mechi ya kwanza
14/15 Aprili: robo fainali, mechi ya kwanza
28/29 Aprili: nusu fainali, mechi ya kwanza
5/6 Mei: nusu fainali, mechi ya kwanza
Jumamosi tarehe30 Mei: Fainali – Atatürk Olimpiyat Stadı, Istanbul