UEFA CHAMPIONS kwa timu za uingereza tukutane hapa tuzodoane

UEFA CHAMPIONS kwa timu za uingereza tukutane hapa tuzodoane

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
10,356
Reaction score
16,379
Wana football wa uefa champions kwa timu za kutoka uingereza tukutana hapa tuzodoane mi yangu CHELSEA raha sana ulaya kwa kweli mdogo mdogo hatimae mtatuelewa tu
 
mkuu hilo jina lako linanichekesha sana, hazard kawa mangi sikuhizi???, but hapa wengi watapakimbia coz team zao zote za uingereza zimefungwa 2-1, kama zimeambizana
 
Microphone test microphone test....1-2, 1-2 microphone test (manure,ase8& manshity)

blue is colour hapa!
 
Red devil

anauwezo wa kubadili upepo.

mauchungu ya kuvungiwa mguu mtu Wetu bwana Shaw hayatibiki bila kugeuza ubao

Ni vzr mkakutana nyie watu wa chupi mkononi asernal, Chelsea na Man 6
 
huu uzi hauna maisha marefu mwisho wa kutumika ni makundi au 16 bora
 
Back
Top Bottom