UEFA Champions league - 16 knock out stage, mechi kali kuliko zote ni Real madrid vs Manchester city

wewe jamaa napoli unamjua unamsikia nenda kamuulize klop sitoshangaa napoli akimtia Barcelona.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio rahisi mkuu. Hivi vi-team vinajitutumua huku huku mwanzo mpaka hatua waliyofikia. Mfano Real Madrid huwa akifikaga kwenye hatua hizi huwa anayaweka matatizo yake pembeni,analitolea macho kombe lake balaa. Labda Barcelona hanaga records nzuri kwenye hizi hatua. Hata hivyo bado naiona nafasi ya Barcelona kupita hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bayern kajipatia kademu kakupiga nje ndani like nyuma na mbele ..!
 
Sioni wa kumzuia Valencia kubeba ndoo
Tukutane 8 bora realmsdrid, liverpool , Valencia, spurs, Munich, barca juventus , psg

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu waliidharau sana atalanta lakini hadi sasa valencia ndio timu yenye hali mbaya zaidi kuiona robo fainali. sijui pengine atapindua meza kibabe kwenye mechi ya marudiano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…