UEFA Champions league - 16 knock out stage, mechi kali kuliko zote ni Real madrid vs Manchester city

Watu waliidharau sana atalanta lakini hadi sasa valencia ndio timu yenye hali mbaya zaidi kuiona robo fainali. sijui pengine atapindua meza kibabe kwenye mechi ya marudiano.

Sent using Jamii Forums mobile app
Atalanta alianza vibaya sana kwenye group stage walipigwa tano na Man city, na pia walipigwa mechi tatu mfululizo. Lakini wakabadilika na sasa wanaonekana moja ya timu yenye mpira wa kuvutia sana.

Ngumu mkuu Valencia kupindua meza. Mechi nyingine Tottenham nao waligongwa home. Liver nae ikae vizuri,jamaa wanaweza kukomaa ikawa sare

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atalanta alianza vibaya sana kwenye group stage walipigwa tano na Man city, na pia walipigwa mechi tatu mfululizo. Lakini wakabadilika na sasa wanaonekana moja ya timu yenye mpira wa kuvutia sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho kizingiti ameshakivuka. Lakini sidhani kama atafaulu tena kwa vigogo vitakavyovuka 8 bora. Kwa hatua ya kufika 8 bora UEFA itakuwa ni bora sana kwao pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkiambiwaga bange ni hatari kwa afya zenu mnaanza kusema ooh mbona serikali inachukua kodi ya RIZILA
 
Hicho kizingiti ameshakivuka. Lakini sidhani kama atafaulu tena kwa vigogo vitakavyovuka 8 bora. Kwa hatua ya kufika 8 bora UEFA itakuwa ni bora sana kwao pia

Sent using Jamii Forums mobile app
Atalanta ni Moja ya timu yenye safu bora sana ya ushambuliaji barani ulaya. Walianza vibaya kwenye michuano sijui ilikuwa shida nini hadi kupoteza mechi tatu za mwanzoni na kupata kipigo kikubwa zaidi kwa Man city. ila walivyotulia hawakupoteza tena mechi na kutoka sare na man city mechi ya marudiano.

Mechi ya mwisho ya group stage,
Shak Donetsk alikuwa nyumbani kwake na alikuwa anahitaji point moja tu aende hatua ya 16 bora lakini akastaajabishwa na hawa Atalanta kwa kipigo cha goli 3 kwa bila.
Wafuatiliaji wa ligi ya Serie A wanaijua vyema hii timu kwa aina ya soka lao la kushambulia, Lolote laweza tokea kwenye mpira wa mguu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…