UEFA Champions League 2020/21: Nani kuwa Bingwa kati ya Manchester City na Chelsea?

Mambo mengine yamekaa kitoto sana,yani Chelsea ni underdog kwa man cty,Chelsea ambae makombe yote uefa waliyoanzisha alishabeba ndo umfañanishe na CTY asiye na lolote huko uefa
 
Tupe sababu kwann Chelsea ni underdog kwa city
 
Mambo mengine yamekaa kitoto sana,yani Chelsea ni underdog kwa man cty,Chelsea ambae makombe yote uefa waliyoanzisha alishabeba ndo umfañanishe na CTY asiye na lolote huko uefa
tupe maana ya underdog
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…