Madrid wale wazee hawawezi tena kukimbia, the likes of Modric and Toni Kroos plus Marcelo na Ramos kujisifu mmewatoa wale nawashangaa sana, kama msingewatoa ndio ningewashangaa zaidi.
Hizo game ulizosema Chelsea alimfunga City Guardiola hakupanga kikosi cha maangamizi, ngojeni jumamosi ndio mtaiona City ya maangamizi na aina ya mpira watakaocheza, hamtapewa nafasi ya kupiga hata pasi tano, wakipoteza mpira wanakaba kama nyuki mtauachia mpira bila kupenda.
Nataka huyo Kante awepo halafu muone kama atafurukuta, City wanacheza kama machine, hawamtegemei mtu mmoja wale.