UEFA Champions League: Atletico Madrid Vs Real Madrid

Weraweraaaaaaaaaa piga mbwaaaaaaaaaa
 
Sergio Ramos anacheza kata ya mkasi lakini Mark Clattenburg anaona kadi ya njano inatosha.

Ni adhabu inapigwa na AM wanapoteza mpira na dakika 90 zimekwisha.

Tunakwenda dakika 30 za nyongeza
 
zizou atajutia sana sub ya tony kroos!
 
Timu zajiandaa kuanza kipindi cha dakika za nyongeza.

Hii ni fainali ya pili kwa timu hizi kucheza fainali hadi kipindi cha nyongeza.

Lakini safari hii Athletico Madrid watakuwa makini,

Ila Real Madrid wamepwaya baada ya kumtoa Toni Kroos.
 
Real Madrid wanaonyesha kuchoka na Athletico Madrid wanaonekana wenye ari na nguvu mpya.

Kama Real Madrid wakishinda mechi hii itakuwa ajabu sana.

Real Madrid wamefanya mabadiliko yao yote na hili ni kosa la kiufundi alolifanya Zizou.
 
Madrid kakubali yaishee [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…