UEFA Champions League: Atletico Madrid Vs Real Madrid

Nasikia real Madrid imepwaya Sana wanautafuta kwa tochi,kuna ukweli wowote au unazi tu wa mashabiki wa atletico
CR7 anacheza beki kwa kweli maana hakuna namna sasa. 😛😛😛
 
Sijui nani ataibuka shujaa katika hizi penalties 10 au zaidi.
 
Nina wasiwasi sana na ATM, hawa jamaa penati hawako vizuri kabisa.
 
Tunaoangalia kwenye TV tuko over 200 million.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…