UEFA Champions League group stage draw; Man. Utd yapewa Juventus huku Liverpool ikipewa PSG! Modric aibuka Mchezaji bora

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Posts
2,046
Reaction score
3,971
Droo ya Michuano ya Klabu Bingwa Ulaya hatua ya makundi kwa msimu wa mwaka 2018/19 inachezeshwa leo Agosti 30 majira ya saa 18:00CET(Majira ya saa 1 usiku, saa za Kitanzania). Itafanyika Grimaldi Monaco

Akina nani watahusika kwenye droo hiyo?


How does the draw work?

  • The 26 teams given direct entry to the group stage under the new competition system are joined by the six winners of the play-off ties
  • The teams are split into four seeding pots. Pot 1 consists of the holders, the UEFA Europa League winners and the champions of the six highest-ranked nations. Pots 2 to 4 are determined by the club coefficient rankings.
  • No team can play a club from their own association and, based on decisions taken by the UEFA Executive Committee, clubs from Russia and Ukraine must not be drawn in the same group.

Kalenda ya msimu mzima

18/19 Septemba: Group stage, matchday one
2/3 Octoba: Group stage, matchday two
23/24 Octoba: Group stage, matchday three
6/7 Novemba: Group stage, matchday four
27/28 Novemba: Group stage, matchday five
11/12 Decemba: Group stage, matchday six

17 December: Round of 16 draw

12/13/19/20 February: Round of 16, first leg
5/6/12/13 March: Round of 16, second leg

15 March: Quarter-final & semi-final draw

9/10 April: Quarter-finals, first leg
16/17 April: Quarter-finals, second leg
30 April/1 May: Semi-finals, first leg
7/8 May: Semi-finals, second leg

Saturday 1 June: Final – Estadio Metropolitano, Madrid


Aidha, katika upangaji wa droo hiyo tuzo mbalimbali zitatolewa ikiwa ni pamoja na;

1. Mchezaji bora wa UEFA wa Kiume kwa Mwaka(Wanaowania ni; Luka Modric, Cristiano Ronaldo na Mohammed Salah)
>>>Mshindi ni Luka Modric(Real Madrid)

2. Mchezaji bora wa UEFA wa Kike kwa Mwaka
>>>Mshindi ni Pernille Harder

3. Golikipa bora wa UEFA kwa msimu wa 2017/18( Wanaowania tuzo ni; Gianluigi "Gigi" Buffon, Keylor Navas na Alisson Becker)
>>> Mshindi ni Keylor Navas(Real Madrid)

4. Beki bora wa UEFA kwa msimu wa 2017/18(Wanaowania n; Sergio Ramos, Marcelo na Raphael Varane)
>>> Mshindi ni Sergio Ramos(Real Madrid)

5. Kiungo bora wa UEFA kwa msimu wa 2017/18( Wanaowania tuzo ni; Luka Modric, Kevin De Bryune na Toni Kroos)
>>>Mshindi ni Luka Modric(Real Madrid)

6. Mshambuliaji bora wa UEFA kwa msimu wa 2017/18(Wanaowania ni: Leonel Messi, Cristiano Ronaldo na Mohammed Salah)
>>>Mshindi ni Cristiano Ronaldo

7. Mshindi wa Tuzo ya Rais ni David Beckham
============

MATOKEO YA DROO

 
Haya haya kumekucha asie na mwana aeleke jiwe

'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…