UEFA Champions League group stage draw; Man. Utd yapewa Juventus huku Liverpool ikipewa PSG! Modric aibuka Mchezaji bora

He deserves, ule ujinga wa kuangalia kufunga magoli mengi, ndicho kigezo cha uchezaji bora, naona UEFA wamekiacha. Hata mwaka 2010 kama wangekuwa fair Wesley Sneijder angechukua, hapa sasa haki imeonekana kutendeka.
2010 ilikuwa tuzo ya Maestro Iniesta hata UEFA na watoa tuzo ya Ballon d'or walishaomba radhi
 
ningekua na uwezo ningewaomba mwantesa united wawapishe Chelsea kwani wao wanaenda kurukaruka tu
 
Inajulikana mashabiki wengi hasa man United huumfuata Ronaldo tangu alivyotoka Man United kwenda real Madrid kwenda Juventus, sasa wamekutanishwa huko wao kwa wao sijui watashabikia timu mpya au ya zamani
Haya mambo ndio maana loyal players kama Xavi, INIESTA, Messi, Pique, au Busquets hawawezi kukubali kucheza against Barcelona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…