Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
PSG hata walipokuwa kamili kipindi cha David Luiz na Zlatan bado walikuea wana- struggle pindi wakikutana na Barca.Honestly sioni kama wenyeji Leo wana nafasi ya kushinda
That means ushindi wa wenyeji Leo ni draw
Ukifuatilia vyema PSG hawako vyema msimu huu japo addition ya draxter umeleta kitu tofauti sana kwenye ushambuliaji
But sioni wakishinda mbele ya barca
Kweli kabisa hata Mimi naona easy win kwa wageni, psg leo Kuna uwezekano wakawakosa thiago Silva, motta na krychowiak,Honestly sioni kama wenyeji Leo wana nafasi ya kushinda
That means ushindi wa wenyeji Leo ni draw
Ukifuatilia vyema PSG hawako vyema msimu huu japo addition ya draxter umeleta kitu tofauti sana kwenye ushambuliaji
But sioni wakishinda mbele ya barca
Hivi ana goli ngap Uefa?King Messi waonyeshe wazidi kukuelewa wewe ni nani
11 mkuuHivi ana goli ngap Uefa?
Mpira dk 90Honestly sioni kama wenyeji Leo wana nafasi ya kushinda
That means ushindi wa wenyeji Leo ni draw
Ukifuatilia vyema PSG hawako vyema msimu huu japo addition ya draxter umeleta kitu tofauti sana kwenye ushambuliaji
But sioni wakishinda mbele ya barca
Endelea kutoona tuHonestly sioni kama wenyeji Leo wana nafasi ya kushinda