Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Kila kitu katika soka kinawezekana. Dk 90 ndio mwamuzi au extra time au penalties. Kuna mechi mmoja wapo itatoa matokeo ya kushangaza.
Arsenal pamoja na Barcelona hamna atakayeingia robo fainal.
Tena watapigwa nje ndani
Sio kwa arsenalKila kitu katika soka kinawezekana. Dk 90 ndio mwamuzi au extra time au penalties. Kuna mechi mmoja wapo itatoa matokeo ya kushangaza.
Hata hao barcelona wanaenda tu kukamilisha ratiba, hana uwezo wa kugeuza yale matokeoBarcelona have chance Arsenal absolutely no. Today they will go 4-1 down
Barca yes wanaweza kukomaa ila alsenal watapigwa zaid leo
Hilo kwa kiasi fulani lina ukweli, lakini afadhali kwa timu yoyote nyingine, lakini si kwa Arsenalmpira dk 90 vilevile unadunda.