gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,048
Teh teh teh teh teh tehMkuu ushastafu au bado[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Maana ahadi ni Deni[emoji28][emoji28][emoji28]Teh teh teh teh teh teh
Kama sio figisu hata yanga musingeitoa achilia mbali psgPeleka upopoma mbele huko. Maumivu yakizidi kamuone Dr.[emoji382] [emoji382]
Kama sio figisu hata yanga musingeitoa achilia mbali psg
PSG hawana tofauti na Kiluvya United.
Mkuu PSG wameniangusha sana. Wameingiwa uoga wa ajabu.Hapa naona jibu ushalipata[emoji28][emoji28][emoji28]
Nimestafu rasmi.Mkuu ushastafu au bado[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Naunga mkono hoja.Yaan bora uishabikie maji maji ya songea kuliko kuishabikia PSG kwakwel
mkuu nishakuombea ban[emoji41] [emoji41]Naunga mkono hoja.
Siyo uoga. Haipo timu ya kuifunga Barca. Hata hapo robo tutawabamiza tena.Mkuu PSG wameniangusha sana. Wameingiwa uoga wa ajabu.
Hongera kwa Barca, tukutane robo fainali.
[emoji28][emoji28][emoji28] usifanye hivyo mkuu. Fainali nitashangilia na nani sasa??Nimestafu rasmi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawa wanakula 6