Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Msimu wa Klabu Bingwa ulaya, ligi pendwa duniani unaanza leo kwa baadhi ya timu kumenyana uwanjani.
Kupitia uzi huu tutakuwa tukipeana habari kwa msimu mzima.
Timu inayotetea ubingwa - Real Madrid
Mfungaji bora wa mashindano yaliyopita - Cristiano Ronaldo
Mchezaji bora wa mashindano yaliyopita - Cristiano Ronaldo

MAKUNDI YA KLABU BINGWA ULAYA