Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Wazee wa kubet mpooooo??Msimu wa Klabu Bingwa ulaya, ligi pendwa duniani unaanza leo kwa baadhi ya timu kumenyana uwanjani.
Kupitia uzi huu tutakuwa tukipeana habari kwa msimu mzima.
Timu inayotetea ubingwa - Real Madrid
Mfungaji bora wa mashindano yaliyopita - Cristiano Ronaldo
Mchezaji bora wa mashindano yaliyopita - Cristiano Ronaldo
MAKUNDI YA KLABU BINGWA ULAYA
View attachment 586814
Vibonde juzi wamepiga mtu 6-0. Unajua vibonde wanacheza na nsni tena mechi ijayo.? Kaa hapo hapo kwanzaKipa wa VIBONDE wa UEFA
View attachment 586847
Wamecheza na timu hata haijulikani. Walipata mlevi chakari wakampeleka mlimani na kuanza kumsukuma.Vibonde juzi wamepiga mtu 6-0. Unajua vibonde wanacheza na nsni tena mechi ijayo.? Kaa hapo hapo kwanza