Uefa Champions League: Leo ndio hukumu ya Real Madrid

Uefa Champions League: Leo ndio hukumu ya Real Madrid

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Bingwa mtetezi Real Madrid anaenda kuvuliwa ubingwa wake na Bayern Munich usiku wa leo pale dimbani Santiago Bernabeu.

Kurudi dimbani kwa Roberto Lewandowski ni dalili njema kuwa Bayern Munich ama " The Bavarians " watatakata na kuitoa mashindanoni Real Madrid ambayo katika siku za karibuni wamekuwa na fomu isiyokuwa nzuri kwa wachezaji wake wa mbele yaani BBC.

Kama ilivyo ada, Bingwa mtetezi hawezi kuchukua mara mbili hivyo leo ni siku nzuri kwa Real Madrid kufurumushwa nje ya mashindano.
Mechi ni saa 3:45 usiku
58f5387446de6.jpeg
 
Umoja wa Ulozi(UwU)-Kigoma na Sumbawanga.

Tayari CR7 kashafanyiwa Mambo ya ajabu..kuona kwake goli itakuwa ni shida sana.. Bayern itachanja mbuga!!
1492527686902.jpg
 
Ngoja yule jamaa wa kucheza na namb shufwa , witiri, tarehe nyota na herufi aje!
 
Kikosi bora cha fifa 2016 kina wachezaji wa real Madrid watano 1.ronaldo 2.ramos 3.toni kroos 4.modric 5.marcelo.
Bayern munich Wana kipa tu.
Mkuu,
Real Madrid mazoea ya UEFA mwisho ni leo.
1492528086818.jpg
 
Back
Top Bottom