Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Mkuu,Kikosi bora cha fifa 2016 kina wachezaji wa real Madrid watano 1.ronaldo 2.ramos 3.toni kroos 4.modric 5.marcelo.
Bayern munich Wana kipa tu.
Kwikwikwikwi!!!Vidal mwanangu mpendwa Leo dunia utaisamimisha.
View attachment 497900
Huyu jamaa leo namsubiri kwa hamu sana!! Toka mda natafta uzi wake siupatiNgoja yule jamaa wa kucheza na namb shufwa , witiri, tarehe nyota na herufi aje!
Toto tunduVidal mwanangu mpendwa Leo dunia utaisimamisha.
View attachment 497900
Nakawambia huyu Mtoto ni wa Manzese!!!!! Kama sio wa "kwa Njeka"Toto tundu
Unamucheka mwanangu Mpendwa,Kwikwikwikwi!!!