Uefa Champions League: Leo ndio hukumu ya Real Madrid

Madrid ashukru jamaa walipata kadi nyekundu siku ile bila hivyo siku ile angepigwa sana!
 
Real Madrid kifo tu maana mbele wa mtaalamu babu ruben mzee mbichi mwenye umri wq miaka 25.Real njeeeeeeeee
 
Tunakuja kwa style ya aina yake hatuna haja ya Mwewe!
Tunaleta Msiba ndani ya Spain.
 
Real Madrid kifo tu maana mbele wa mtaalamu babu ruben mzee mbichi mwenye umri wq miaka 25.Real njeeeeeeeee
Heri ukutane na Joka msituni kuliko ukutane na dubu aliyepoteza watoto msituni.

Heri kifo cha bastola kuliko kifo cha kupunguza viungo vya mwili.

Real Madrid kichwa chao halali yetu.
 
Hahahaa Mashabiki Wa Barcelona! Ya Kwenu Yanawashinda Msubirini Dybala Kesho
Barcelona huko nikafanye nini...?

Kesho zamu yao inacome.
Angalia saizi mess anaona maruweruwe.
 
Heri ukutane na Joka msituni kuliko ukutane na dubu aliyepoteza watoto msituni.

Heri kifo cha bastola kuliko kifo cha kupunguza viungo vya mwili.

Real Madrid kichwa chao halali yetu.
Maana kipigo hiki ni cha aibu kwako. Hawataamini kitakacho wakuta.
 
Leo ni tareh 18/4

Re= 18+5+18=40

Ba=2+1+18=21

Real madrid ni namba shufwa na baryen sio shufwa

Hivo real madrid ana nafas kubwa ya kushinda,

Anasapotiwa na tareh na mwezi zote ni shufwa zinalingana

MPE REAL MADRID HUTOJUTA LEO
 
Hahaha umerithi tabiri hizo kwa Simon wa Samaria....?
 
Mkuu una akili ww hatari xana hao watu cyo wa mchezomchezo htareee # lewandowski#,Arturo Vidal pado,Kingsley Coman,arjen roben kijiko,frank ribbery,Douglas Costa,muller,Manuel nuer mikono saba,David alaba,boaten,Joshua kimmich,thiago alcantara,Sanchez,Alonso,team captain Philip lahm,Juan bernat. Hummel's,hatareeeee mia San mia umenikosha xana mkuu,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…